Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Parachichi aisee!!!.....
Nimesoma na nimeelewa,ahsante Anko kwa elimu.
Ukute hata lile parachichi la kienyeji nalo lina faida hivi hivi eee! Maana akina dada wakianza kutumia unakuta ngozi inaanza kung'aa,mwili unaanza kuinuka hapa unabonyea pale... Jamani!
Ukute parachichi limeiva vizuri sasa, wadada waupate uji wa parachichi likisha jikoroga,wanafurahia mwee. Huku kwetu muda wote ni kutafuta maparachichi yaliyo iva, baridiiii...
Kwa hizi faida za parachichi najuta kuzeeka mapema, ningelikuwa kijana ningeliuza sana matunda ya kwenye mparachichi wangu.

Ahsante tena na tena kwa elimu binti mpole
 
😂😂😂😂😂😂😂Anko asante kwa gazeti hili hasa la parachichi la kienyeji😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…