Kwa mujibu ya wataalam wa ngozi, unashauriwa kuoga mara mbili mpaka tatu kwa wiki ili kuifanya ngozi yako iwe imara zaidi, Kuoga mara kwa mara huweza kupelekea matatizo ya ngozi.
Naomi Osaka ambae ni bingwa mara mbili duniani katika mchezo wa tenisi, amezindua kampuni yake ya habari aliyoipa jina la Hana Ku ma ikiwa na maana ya ya "Dubu wa Maua" kwa Kijapani japo kwa lugha ya Kiswahili ina maana tofauti kabisa.