Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
pia husaidia kupunguza uwezekano wa kushambuliwa na maradhi ya moyo na msongo wa mawazo
😂😂
Amen!Mwenyezi Mungu atupe afya na uzima 🙏 🤲
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏
Hapo wengi watapatwa!Watafiti wanafikiria kuorodhesha Uraibu (Addiction) wa Matumizi Ya Intaneti' kama moja ya Magonjwa Ya Akili.
SawasawaMaji ya baridi husaidia kuongeza kiwango cha homoni ya testestorone ambayo hufanya kazi muhimu kwenye maendeleo ya ukuaji na uimara wa mbegu
🖐️Salam kwenu