Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

OSINACHI AZIKWA Marehemu Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Osinachi Nwachukwu, amezikwa katika boma la babake,katika jimbo la Abia Jana Jumamosi, Juni 25. Osinachi, ambaye aliimba wimbo maarufu, Ekwueme, alifariki Aprili 8, 2022, huku kukiwa na madai mengi ya watoto wake, familia na wafanyakazi wenzake kwamba alipigwa hadi kufa na Mumewe, Peter Nwachukwu.
 
Unapofunga kwanza unapumzisha mfumo wako wa umeng’enyaji, pili unaufanya mchakato wa metaboli kwenda vizuri kwani mwili utatumia vyema virutubisho vilivyoko mwilini tayari.
 
Huboresha mzunguko wa damu


Tafiti mbalimbali zinaeleza kuwa kufunga kula hufanya mzunguko wa damu uende vizuri hasa kwa watu wenye aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari (Type 2 Diabetes
 
Hufanya insulini kufanya kazi vizuri


Unapofunga kula mwili huzalisha insulini ili kutawala kiwango cha sukari mwilini kwani hakuna sukari inayoingia. Kwa njia hii insulini itaweza kuzalishwa na kufanya kazi ipasavyo mwilini mwako.
 
Hurefusha maisha
Watafiti wa afya wanaeleza kuwa kula sana kunakufanya pia uzeeke mapema. Wanaeleza kuwa kula kidogo kutatawala mchakato wa metaboli, hivyo kuzuia seli kuchakaa mapema.
 
Back
Top Bottom