A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,221 Unaweza ukafanya hivyo pia.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,222 4. Punguza au Acha kula Nyama nyekundu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,223 Ukiachia mbali saratani, nyama nyekundu imetambulika kusababisha madhara mengi na makubwa kwa binadamu
Ukiachia mbali saratani, nyama nyekundu imetambulika kusababisha madhara mengi na makubwa kwa binadamu
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,224 Amua sasa kuachana nayo.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,225 Hamia katika samaki na kuku kwa kuanzia na baadae huenda ukaachana na hizo nyingine pia.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,226 Nyama ya nguruwe maarufu kam kitimoto ni nyama nyekundu pia na ni hatari kwa afya yako .
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,227 Heri wale ambao hata dini zao zilikataza nyama hii ya Nguruwe kwani wameepuka hatari.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,228 5. Epukana na Nyama za kusindikwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,229 Nyama za makopo na soseji zinasababisha saratani kutokana na kemikali za kutunzia zisioze na pia huwekwa chumvi nyingi sana ambayo ni hatari kwa afya.
Nyama za makopo na soseji zinasababisha saratani kutokana na kemikali za kutunzia zisioze na pia huwekwa chumvi nyingi sana ambayo ni hatari kwa afya.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,230 6. Punguza Matumizi ya Chumvi
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,231 Chumvi ya kupita kiasi inaongeza uwezekano wa kupata saratani hivyo ni hatari.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,232 Tumia chumvi kwa kiasi kidogo kwa afya njema.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,233 Binadamu anahitaji gramu 5 tu kwa siku sawa na kijoko kidogo cha chai.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,234 Usiongeze chumvi wakati wa kula, chumvi isiyoyeyuka nia hatari zaidi.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,235 7. Acha kula Vyakula vyenye Ukungu
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,236 Acha kula nafaka na kundekunde zilizootesha ukungu hasa kwa kutohifadhiwa vyema.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,237 Vyakula hivi vinatoa sumu ya aflatoxin
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,238 8. Usivute sigara
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,239 Uvutaji wa sigara ni hatari na huenda ukakusababishia saratani ya koo, kinywa na mapafu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 10, 2022 #1,334,240 Acha kuvuta sigara ili kuepukana na ugonjwa wa saratani.