Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baadhi ya vyanzo vikuu muhimu katika ukuaji/maendeleo ya afya ya ubongo;

- Kula mara kwa mara Chokoleti.

- Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, kwa wiki angalau mara mbili.

- Kupenda kufurahi/Kujipa furaha mara kwa mara.
 
Utamaduni: Ndoa za kisukuma zinaruhusu ndoa za mitara (mke zaidi ya mmoja). Kwa kawaida wasukuma huoa kwa mahari ya ng'ombe kati ya 7 mpaka 20, hii ni kawaida lakini mahari inaweza kuwa ng'ombe 25 mpaka 70 pale atakapokuwa anaozeshwa binti mweupe.
 
Wanasayansi wanashauri wanawake kupata muda mwingi zaidi wa usingizi kwa kile wanachodai kua ubongo wao ni tata zaidi kuliko wa Wanaume. Ubongo wa Wanawake unafanya kazi nyingi zaidi ukilinganishwa na Wanaume.
 
Baadhi ya vyanzo vikuu muhimu katika ukuaji/maendeleo ya afya ya ubongo;

- Kula mara kwa mara Chokoleti.

- Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, kwa wiki angalau mara mbili.

- Kupenda kufurahi/Kujipa furaha mara kwa mara.
 
Utamaduni: Ndoa za kisukuma zinaruhusu ndoa za mitara (mke zaidi ya mmoja). Kwa kawaida wasukuma huoa kwa mahari ya ng'ombe kati ya 7 mpaka 20, hii ni kawaida lakini mahari inaweza kuwa ng'ombe 25 mpaka 70 pale atakapokuwa anaozeshwa binti mweupe.
Duh!
Kumbe kuoa mrembo wa Kisukuma mweupe ni shughuli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…