myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku mwema mliokuwa sokoni dukani gengeni na saluni..
SawasawaFanya mazozi ya mwili kila siku.
Aisee..Ukiachia mbali saratani, nyama nyekundu imetambulika kusababisha madhara mengi na makubwa kwa binadamu
Kweli kabisa..Kukimbia (jogging) ni njia rahisi ya kufanya mazoezi yanayohusisha mwili mzima.
👍👍Tumia chumvi kwa kiasi kidogo kwa afya njema.
🤣🤣Duh!
Kumbe kuoa mrembo wa Kisukuma mweupe ni shughuli!