Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meneja wa Arsenal Arteta amethibitisha kwamba mlinzi William Saliba yuko kwenye mipango yake. Vilabu kadhaa vya Ufaransa na Hispania vinamtolea macho kinda huyo mfaransa.
 
Brighton imekataa ofa ya Manchester City kwa ajili ya mlinzi Marc Cucurella. Ofa ya Β£30m inaonekana kuwa ndogo, Brighton wanataka Β£50m. Mazungumzo yanaendelea (David Ornstein)
 
Video imesambaa leo ikimuonyesha Mjerumani huyo mwenye miaka 32 aliyetwaa mataji 11 ya ligi kuu ya Ujerumani akimjibu mshabiki huyo wakati akisaini vitabu vyao 'hapana, hapana'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…