Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametangaza kwenye gazeti la serikali kuanza kwa kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia bank pale unapotoa au kuweka fedha utakatwa kodi ya viwango tofauti kama inavyoonekana kwenye jedwari hili hapa chini. The Government of Tanzania has imposed levy on all...
Modern marriages. Zimejaa must knows nyiingi lakini migogoro ndio inazidi tu kila siku. Jibu la ndoa ni moja tu, nalo ni chungu kama mchunga: mpango wa Mungu ulikuwa mke asiwe amewahi kuonja dyudyu kabla ya ndoa. Mume amjue mke akiwa bikra, hili lina maana kubwa sana. Kufanywa hovyo kabla ya...
Miili ya Watoto wanne wa Familia moja waliokuwa wakiishi katika kata ya Mswakini wilayani Monduli Mkoani Arusha itazikwa katika kata hiyo ya bila wazazi wao kuwepo baada ya kukamatwa na polisi kwa ajili ya uchunguzi kufuatia vifo vya Watoto hao ambao inadaiwa walikunywa kitu chenye sumu. Watoto hao walifariki watano ambapo mmoja alifariki July 05,2022, na Watoto wanne wengine wamefariki July 19,2022. Mkuu wa Wilaya ya Monduli Frank Mwaisumbe amesema Wazazi wa Watoto hao wanashikiliwa na Polisi kwa ajili ya uchunguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.