Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
 
Miili ya Watoto wanne wa Familia moja waliokuwa wakiishi katika kata ya Mswakini wilayani Monduli Mkoani Arusha itazikwa katika kata hiyo ya bila wazazi wao kuwepo baada ya kukamatwa na polisi kwa ajili ya uchunguzi kufuatia vifo vya Watoto hao ambao inadaiwa walikunywa kitu chenye sumu. Watoto hao walifariki watano ambapo mmoja alifariki July 05,2022, na Watoto wanne wengine wamefariki July 19,2022. Mkuu wa Wilaya ya Monduli Frank Mwaisumbe amesema Wazazi wa Watoto hao wanashikiliwa na Polisi kwa ajili ya uchunguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…