Mshambulizi wa Ureno Cristiano Ronaldo, 37, anasafiri kurejea Uingereza na atafanya mazungumzo na Manchester United kuhusu mustakabali wake katika klabu hiyo. (Athletic - subscription required)
Uhamisho wa Chelsea wa kumnunua beki wa kati wa Sevilla Jules Kounde uko hatarini kuporomoka, huku Barcelona wakizidi kuwa na matumaini kwamba wanaweza kumpata mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa, 23. (The Guradian)
Iwapo Kounde hatajiunga, Chelsea itazingatia mchezaji wa kimataifa wa Villarreal na Uhispania Pau Torres, 25, beki wa kati wa Inter Milan na Slovakia Milan Skriniar, 27, na Mkroatia Josko Gvardiol, 20, ambaye yuko RB Leipzig. Wafaransa wawili wa Bayern Munich Dayot Upamecano, 23, na Benjamin Pavard, 26, pia ni safu ya ulinzi. (Dakika 90)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.