Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,361 Blood group B –– Mtu mwenye Blood group B+ hupokea damu kwa watu wenye Blood group B+,B-,O+ na O-.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,362 Blood group B –– Mtu mwenye Blood group B+ hupokea damu kwa watu wenye Blood group B+,B-,O+ na O-.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,363 Blood group AB – Mtu mwenye Blood group AB+ hupokea damu kwa watu wote yaani ni UNIVERSAL RECIPIENT ,hivo hupokea damu kutoka kwa makundi yote ya damu yaani Blood group A+,A-,B+,B-, AB+,AB-,O+ na O-
Blood group AB – Mtu mwenye Blood group AB+ hupokea damu kwa watu wote yaani ni UNIVERSAL RECIPIENT ,hivo hupokea damu kutoka kwa makundi yote ya damu yaani Blood group A+,A-,B+,B-, AB+,AB-,O+ na O-
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,364 Mtu mwenye Blood group AB- hupokea damu kwa watu wenye Blood group A-,B-,AB- na O-.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,365 Blood group O – Mtu mwenye Blood group O+ hupokea damu kwa watu wenye Blood group O+ na O-
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,366 Na Mtu mwenye Blood group O- hupokea damu kwa watu wenye Blood group O-
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,367 Hakuna awezaye kuikimbia hadithi ya maisha yake.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,368 Kama mungu anakufanya usubiri. Jiandie kupokea zaidi ya kile ukichokiomba.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,369 Mungu hutumia majaribu makubwa katika maisha yetu kutukomaza na kutukamilisha. Kitu kisichokuwa hukufanya mpiganaji.
Mungu hutumia majaribu makubwa katika maisha yetu kutukomaza na kutukamilisha. Kitu kisichokuwa hukufanya mpiganaji.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,370 Kila jambo na wakati wake.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,371 Umoja ni nguvu: utengano ni udhaifu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,372 Hoja inamuimarisha mtoa hoja, na kumjenga mpokea hoja
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,373 Dua la kuku halimpati mwewe
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,374 kuzaliwa kwako ni jibu la MUNGU juu ya uhitaji uliopo katika kizazi chako: hivyo mpe nafasi ya kwanza MUNGU
kuzaliwa kwako ni jibu la MUNGU juu ya uhitaji uliopo katika kizazi chako: hivyo mpe nafasi ya kwanza MUNGU
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,375 keep calm and hakuna matata.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,376 siri ya bahari mulize mvuvi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,377 mpanda hila huvuna majuto.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,378 huwezi jua dhamani ya jana moka iitwe majuto, dhamini leo, ili kesho isiitwe majuto.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,379 Asiyekupenda hana alama akishakutenda ndo utaisoma
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,380 Huwezi kuwa mtu wa milioni kama wewe ni mtu wa sababu nyingi. Badilika.