Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,401 Jifunze kubaki kimya. Sio kila kitu kinahitaji majibu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,402 Ni Bora kulia kwa muda baada ya kuvunja mahusiano kuliko kulia kila siku kwa kulazimisha mahusiano yasiyokufaa utateseka sana.
Ni Bora kulia kwa muda baada ya kuvunja mahusiano kuliko kulia kila siku kwa kulazimisha mahusiano yasiyokufaa utateseka sana.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,403 Wema tunaofanya Leo huwa furaha ya kesho.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,404 Jifunze kuiona dhahabu hata kama ipo katika matope.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,405 Huchukua miaka mingi kuujenga uaminifu kwa watu lakini huchukua sekunde kuvunja uaminifu huo… Ilinde thanani Yako… Utaaminika.
Huchukua miaka mingi kuujenga uaminifu kwa watu lakini huchukua sekunde kuvunja uaminifu huo… Ilinde thanani Yako… Utaaminika.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,406 Mafanikio makubwa hayafikiwi kwa kutokuanguka kushindwa, Bali ni kusimama kila tuangukapo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,407 Afya Yako ni Bora kuliko hata hiyo message unayo isubira lala you wewe Binti sayuni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,408 Njia pekee ya kufanya Kazi nzuri ni kupenda Kazi Yako kama hujapata Kazi unayoipenda, endelea kulitafuta . Usiridhike.
Njia pekee ya kufanya Kazi nzuri ni kupenda Kazi Yako kama hujapata Kazi unayoipenda, endelea kulitafuta . Usiridhike.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,409 Upo hai kwasababu Mungu ana Kazi na wewe.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,410 Katika maisha usiogope kumpoteza mtu ambaye unahisi hafurahii kuwa karibu na wewe.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,411 Epuka Sana kuongea maneno makali ukiwa na hasira. Kwani elewa kuwa, hasira zitaisha ila maneno makali uliyoongea yatabakia
Epuka Sana kuongea maneno makali ukiwa na hasira. Kwani elewa kuwa, hasira zitaisha ila maneno makali uliyoongea yatabakia
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,412 Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 26, 2022 #1,335,413 Jioni njema wasafiri wote, mfike salama..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,414 Walimwengu hawana utu, vuta subira usigombane na kila mtu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,415 Yeyote anayeogopa maisha atateseka, tayari anateseka kwa kuogopa.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 26, 2022 #1,335,416 Jioni njema mlio kwenye daladala na bajaji..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2022 #1,335,417 Usimlilie mtu aliyekutupa, itafika siku yeye atakulilia kwanini alikutupa??
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 26, 2022 #1,335,418 Jioni njema wakusoma na waalimu..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 26, 2022 #1,335,419 Mungu awaponye wagonjwa wote 🙏 🙏
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 26, 2022 #1,335,420 Mungu atupe afya na uzima🙏🙏