aaah. ani unaongea wazi wazi hivyo? nitakupeleka kwa dada mange we shauri yakoKwan nkueleze mara ngap me ni unemployed? Nataka kaz ya kukupikia, kukufulia, na kukuogesha over
posti,likes utapata likes na weweKwann unaniita kwenye mapicha ya kichawi hvo?
waandamane inawaathiri? waje hukuaigooooo kumbe hii thread bado inaendelea nilisikia kuna watu wameandamana ifutwe inaonekana jecha sheria hazimruhusu kufuta thread
hii kauli mbiu ya toa like pata likes inawakera sanawaandamane inawaathiri? waje huku
pamoja mkuuChukueni hizo kwanza nitarudi.
watakuja huku kuondoa stresshii kauli mbiu ya toa like pata likes inawakera sana
posti,likes utapata likes na weweMbna kila mtu upata like 5 iko vipi hii
Sent from my SM-N9200 using JamiiForums mobile app
hahahaaaaaa huu si uzi wa mabishanowatakuja huku kuondoa stress
huu uzi ni wa kuondoa stress, we weka hata herufi inatosha..ila kwa washusha nondo wana nafasi majukwaa mengi yapo
KwemaaWakuu kwema uku?