Katika mojawapo ya majiji nchini humo, yanayoitwa Ama, ambayo ni sehemu ya kisiwa cha Nakanoshima, kila mzazi anayejifungua mtoto wake wa kwanza hupewa kiasi cha yen 100,000 (sawa na dola 940).
Gazeti la Money lilisema kwamba Australia ni mojawapo ya nchi zinazojitahidi kuongeza idadi ya watoto wanaozaliwa, ingawa hakuna kiasi maalum kinachotolewa kwa wazazi wa mtoto mchanga.
Lakini nchi hii ni miongoni mwa nchi zinazotoa huduma binafsi kwa wazazi ambao wana watoto, ambapo serikali inasaidia kwa mambo mengi kwenye eneo la huduma kwa watoto
Nimejifunza kwamba watu watasahau ulichosema, watu watasahau ulichofanya, lakini watu hawatasahau kamwe jinsi ulivyowafanya wahisi.” - Maya Angelou. Maisha ni yale unayoyafanya kuwa Quotes