antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
πUnapokuwa mkubwa, utagundua kwamba una mikono miwili, mmoja kwa kujisaidia, nyingine kwa ajili ya kusaidia wengine.β -Audrey Hepburn.
KweliNi bora kuchukiwa kwa jinsi ulivyo kuliko kupendwa kwa jinsi usivyo." -Marilyn Monroe.
Salam za jumapili kwenu..
ποΈποΈSalam za jumapili kwenu..
Amani itawale siku yetu..
Sahihi!Hatua ya kwanza kuelekea mafanikio inachukuliwa unapokataa kuwa mateka wa mazingira ambayo unajikuta mara ya kwanza.β - Mark Caine.