myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Iwe siku njema mlio kwenye daladala na bodaboda na bajaj uangalifu muhimu sana njiani..
Iwe siku iku njema kwa wakusoma na waalimu..
Mungu atupe afya na uzima [emoji120]
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]
Iwe siku yenye amani kwa MamaLishe..
Iwe siku njema kwa walezi wa familia..
Amani itawale mnaoelekea sokoni dukani gengeni na saluni..
Iwe siku yenye amani na utulivu..