Asalaam aleykum! Habari za asubuhi!Wanabodi leo naendelea kuelezea mfululizo wa ndoto ambazo zinamuhusu kiongozi wetu ambazo tatu zimeshakamilika bado moja ambayo sijui itakamilika lini.Leo ntaelezea moja ambayo imekamilika na ile moja ambayo haijakamilka,wataalamu wenye elimu ya kutafasili...