Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_0958.jpg
 
Tafiti: Wastani wa muda ambao Mtu anapaswa kuutumia bafuni wakati wa kuoga ni dakika 8, ukipunguza au kuongeza inaweza kukuletea madhara ya kiafya kwenye ngozi yako.
 
Kupeleka Wanasayansi kwenye Kituo cha Kimataifa cha anga aa juu (ISS) na kukaa huko kwa siku 08 tu, wastani wa gharama nzima itayotumika ni $55M (Tzs. Bilioni 128.2).
 
Vizibo vya Pen huwa vinawekwa tundu kwa juu yake kwa lengo kuu kama mtu itatokea amemeza asije kufariki kwa kukosa pumzi (Suffocation).
 
Vizibo vya Pen huwa vinawekwa tundu kwa juu yake kwa lengo kuu kama mtu itatokea amemeza asije kufariki kwa kukosa pumzi (Suffocation).
 
Kwenye tundu la kitovu Wanasayansi wamegundua aina mpya 1,458 za Bakteria ambao wanapatikana hapo tu!
 
Back
Top Bottom