Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tafiti: Wastani wa muda ambao Mtu anapaswa kuutumia bafuni wakati wa kuoga ni dakika 8, ukipunguza au kuongeza inaweza kukuletea madhara ya kiafya kwenye ngozi yako.
Mupo ndugu zangu?
Unapataga wapi hizi Nondo?Darubini hii iliundwa na Sir Isaac Newton mwaka 1668, ilikua na uwezo wa ku zoom' mpaka 40x na kuonesha picha kwa ubora mzuri tu. Mfalme kwa kipindi hicho aliipenda sana mpaka kuamua kumteua Newton kuwa Mbunge!
Mupo ndugu zangu?
Unapataga wapi hizi Nondo?