Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtu mwenye mafanikio ni yule anayeweza kujenga msingi imara kwa kutumia matofali yaliyotupwa na wengine.”

David Brinkley
 
“Ili kufanikiwa ni lazima tuamini kuwa tunaweza.”

Nikos Kazantzakis
 
Kushindwa kwingi kwenye maisha ni watu wanaoshindwa kufahamu jinsi walivyo karibu na mafanikio wanapokata tamaa.”

Thomas Edison
 
Eneo baya la mafanikio ni kujaribu kutafuta mtu ambaye ana furaha kwa ajili yako.”

Bette Midler
 
“Nimefanikiwa leo kwa sababu nilikuwa na rafiki aliyeniamini na sina moyo wa kumwangusha.”

Abraham Lincoln
 
“Yote unayohitaji kwenye maisha yako ni ujinga na ujasiri; kisha mafanikio ni hakika.”

Mark Twain
 
Ili kufanikiwa, shauku yako ya mafanikio ni lazima iwe kubwa kuliko hofu yako ya kushindwa.”

Bill Cosby
 
“Nimefanikiwa leo kwa sababu nilikuwa na rafiki aliyeniamini na sina moyo wa kumwangusha.”

Abraham Lincoln
 
“Mafanikio hayahusishi kutokufanya kosa bali kutokurudia kosa hilo mara ya pili.”

George Bernard Shaw
 
Back
Top Bottom