Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawasawaYaliyojadiliwa hapo ni baadhi ya mambo ambayo ikiwa yatazingatiwa yatawezesha utoaji wa huduma bora kwa wateja
Kweli kabisa...Ni dhahiri kuwa kufanikiwa kwa biashara yoyote kunategemea uhusiano wa biashara husika kwa wateja wake.
Asubuhi njema
Salam kwenu walezi wa familia zetu..
Mungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji2969]
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]