Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Asubuhi njema walezi wa familia zetu
Mungu atupe afya na uzima [emoji120]
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]
Iwe siku yenye amani na utulivu..
Jua linachomoza na matumaini mapya..