Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Msimu wa Sikukuu umetajwa kuongoza zaidi kwa watu kushiriki ngono kuliko misimu mingine ikiongozwa na msimu wa Christmas.
 
Tafiti: 70% ya Bata hujamiiana kwa ubakaji. Wanasayansi wanadai kuwa maumbile ya kiume ya Bata hayana umbo zuri hivyo huwaumiza majike wakati wa kujamiiana.

Hali hiyo hupelekea Bata majike kugoma kujamiiana tena mara baada ya kuumizwa mara ya kwanza, hata hivyo madume hutumia nguvu.
 
Japan: Vyoo vya Umma vimezungushwa na 'Smart Glass' ambayo muda wote huwa vinaonesha kila kitu kilichopo ndani. Mlango ukifungwa tu ndio hujifunika na kutoonesha ndani.

Lengo la teknolojia hiyo ni kuboresha zaidi usafi na pia kupunguza usumbufu wa kujua kama kuna mtu ndani ama laah
 
Tafiti: Ili kuvutia zaidi majike, Bata Dume (Gegedu) hushindana kwa kukuza zaidi Uume. Mwenye Uume' mkubwa ndie anayekua na nafasi kubwa zaidi ya kuweza kujamiiana.
 
Saikolojia: Unapojifunza kitu kipya ili uelewe vizuri zaidi jaribu kumfundisha na mwingine.

Utakumbuka kirahisi na utajifunza mengine mengi zaidi wakati ukiwa unafundisha!
 
Mwaka 2007, serikali ya Australia ilitumia zaidi ya $84M (Tzs. Bilioni 196) kwaajili ya kuunda mfumo wa kuchuja video za ngono mtandaoni.

Baada ya kuachiwa, kijana wa miaka 16, Toom Wood ndani ya dakika 30 tu aliweza kuudukua mfumo huo!
 
Mwaka 2007, serikali ya Australia ilitumia zaidi ya $84M (Tzs. Bilioni 196) kwaajili ya kuunda mfumo wa kuchuja video za ngono mtandaoni.

Baada ya kuachiwa, kijana wa miaka 16, Toom Wood ndani ya dakika 30 tu aliweza kuudukua mfumo huo!
 
Tafiti: 70% ya Bata hujamiiana kwa ubakaji. Wanasayansi wanadai kuwa maumbile ya kiume ya Bata hayana umbo zuri hivyo huwaumiza majike wakati wa kujamiiana.

Hali hiyo hupelekea Bata majike kugoma kujamiiana tena mara baada ya kuumizwa mara ya kwanza, hata hivyo madume hutumia nguvu.
Aisee...kumbe kubaka si binadamu tu.
 
Back
Top Bottom