myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mchana mwema mlio kwenye daladala na bodaboda na bajaji uangalifu uwe muhimu barabarani hasa kwa wanafunzi..
Mchana mwema mlio sokoni na dukani na saluni na gengeni..
Mnaoburidika, burudani njema ila msisahau familia..Tulioko lodge je
Salam za mchana..
Walezi wa familia muwe na mchana mwema..
Mnaoburidika, burudani njema ila msisahau familia..
Kila mtu ana umuhimu wake
Mungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji2969]
Mlio hospitalini Mwenyezi Mungu awaponye[emoji120][emoji2969]