Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1.Kaa Chini Na Uangalie Lengo Hasa La Wewe Kulianza Jambo Hilo. Zikumbuke Sababu Ulizojiwekea Mwanzoni Kwamba Ni Kwanini Unataka Lengo Lako Litimie. Itakufanya Ujione Mpya Na Uhisi Kwamba Ndio Kwanza Unalianza!
 
Andika Vitu Vyote Vizuri Utakavyovipata Ukishalimaliza Jambo Hilo, Vipitie Kila Mara Unapotaka Kufanya Jambo Hilo.
 
Elewa Kwamba, Vikwazo Na Changamoto Ni Muhimu Wakati Mwingine! Kikubwa Ni Kujipa Moyo, Kuboresha Mipango Yako Kulingana Na Muda Na Mabadiliko Ya Dunia, Na La Muhimu Zaidi Ni Kujifunza Kutokana Na Vikwazo Na Changamoto Ulizozipata!
 
Tafakari Ni Kipi Unakiweza Zaidi? Kitilie Mkazo Na Usijali Unakosea Kiasi Gani Bali Fikiria Umepiga Hatua Gani!
 
Punguza Vitu Kichwani Hasa Vile Usivyovihitaji Zaidi. Pia Punguza Idadi Ya Marafiki Wasiokuwa Na Msaada Kwako Ambao Wengi Wao Hawatakupa Msaada Wowote Zaidi Ya Kuangalia Unakosea Wapi.
 
Tambua Kuwa Hauko Peke Yako! Hili Pengine Ndilo Zuri Kuliko Yote.. Hakuna Aliyefanikiwa Bila Kupitia Kipindi Fulani Kigumu Ambacho Pengine Kilimfanya Afikirie Kukata Tama! Never Give Up.
 
Kumbuka, Ukijaribu Njia Kumi Ukashindwa Kufika Unapokwenda, Ukaweza Mara Ya Kumi Na Moja, Hujapoteza Kitu Bali Umegundua Njia Kumi Zisizofanikisha! Hivyo Wakati Mwingine Hutapitia Njia Hizo.
 
Soma Vitabu Au Historia Ya Watu Waliofanikiwa Duniani Uone Wamepitia Magumu Mangapi! Pia Unaweza Kutafuta Mshauri (Mentor).
 
Back
Top Bottom