Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Madam are u okay?!Soma Vitabu Au Historia Ya Watu Waliofanikiwa Duniani Uone Wamepitia Magumu Mangapi! Pia Unaweza Kutafuta Mshauri (Mentor).
Madam are u okay?!
Naona unatu-insipire tu π ππΎ
AiseeKujiweka wa mwisho na Kujinyima muda wa kufurahi /kustarehe
Maisha yako yamejengwa kwa vipande vidogo vidogo ambavyo kila kimoja kina nafasi yake, na kikikosekana, basi vingine havitakaa kwenye nafasi zake na kuharibu maisha yote.