Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
AiseeHunywa vinywaji moja kwa moja kwenye mdomo wa chupa bila kutumia glass wala vikombe. Na akipika, basi atakula kwa kutumia chombo hiucho hicho alichopikia.
Sawasawa..Tafuna Bazoka (chewing gum) unapofanya kazi inayohitaji kumbukumbu kubwa au unaposoma kitu kipya. Kwa mujibu wa wataalamu wa mambo ya saikolojia, utafunaji wa bazoka hufanya misuli ya kichwa kuwa “active