Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kukubaliana na mtu kwa kutikisa kichwa kumbe hata hujasikia kakuambia nini. Unaombea tu asije akawa amekuuliza swali
SawasawaMtoto Mchanga ana mifupa 60 zaidi ya mtu mzima
🤣Unaambiwa kitu Fulani ni cha moto, unaamua kugusa na unaungua kweli!
Aisee..Kila binadamu ana harufu yake ya tofauti kasoro mapacha wa kufanana tu, ndio wana harafu moja!