Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kukubaliana na mtu kwa kutikisa kichwa kumbe hata hujasikia kakuambia nini. Unaombea tu asije akawa amekuuliza swali
 
Unatembea katikati ya watu mara ghafla unagundua umekosea njia, Unajidai umesahau kitu au kuangalia simu yako na kuanza kurudi kwa kasi!
 
Unabishana kichwani kwako mwenyewe mpaka unapata hasira, baadae unagundua ni mawazo tu na kujiona mjinga!
 
Betri za rimoti yako zimekwisha unaamua kuminya batani za rimoti kwa nguvu zaidi ukihisi itasaidia!
 
Kujiangalia kwenye kioo cha jengo na kusahau kuwa kuna watu ndani ya jengo na wanakuagalia
 
Unabisha kwamba hujalala (huko usingizini) na unasikia kila kinachoongelewa, kumbe kila mtu ameshakushtukia!
 
Rekodi za kimasihara

Vijiko Vingi zaidi kwenye mwili wa Binadamu.
Disemba 28 mwaka 2013, Etibar Elchiyev aliweka vijiko 53 mwilini mwake akiwa amesimama wima na kuvunja rekodi yake mwenyewe!
 
Mtu aliyeolewa mara nyingi zaidi!
Linda Lou Taylor wa jimbo la Indiana nchini marekani, anashikilia rekodi ya kuolewa mara nyingi zaidi akiwa ameolewa mara 23!. Ana miaka 69 kwa sasa na amekuwa akisisitiza kutaka kuolewa kwani hana mpenzi kwa zaidi ya miaka kumi sasa!
 
Watu wengi zaidi Kupiga Mswaki kwa wakati mmoja.
Katika mji wa Manila Nchini Philippines, wanafunzi 10,800 walikusanyika pamoja kupiga mswaki na kutema kwenye kikombe kwa wakati mmoja!
 
Watu wengi zaidi Kupiga Mswaki kwa wakati mmoja.
Katika mji wa Manila Nchini Philippines, wanafunzi 10,800 walikusanyika pamoja kupiga mswaki na kutema kwenye kikombe kwa wakati mmoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…