Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alikuwemo humu juzi nadhani vurugu za akina Kichwa na genge lake zilizidi kipimo hakuzipenda. Atakuja bila shaka. Naona mabinti wengi wanaingia kwa kuibia ibia. It is a man's dominated world [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] kumbe ndio mana tangu juzi nahisi hali ya humu si shwari mana juz usiku niliona povu ambalo sikulielewa...ila i hope yameisha
 
8881bbdc93346177028550bae346ec4f.jpg
 
[emoji23] [emoji23] kumbe ndio mana tangu juzi nahisi hali ya humu si shwari mana juz usiku niliona povu ambalo sikulielewa...ila i hope yameisha
Palipo na wengi pana mengi pia. Utani wakati mwingine unazidi kipimo ila ni mambo ya kawaida tu japo wengine wanakwazika kweli kweli na wanaamua kuondoka kimya kimya. Ila kama unavyoona ile bashasha ya mwanzo ni kama vile imepungua na nahisi kama vile mabinti wanapakwepa. Utani wa hapa ukiuchukulia serious unaweza ukawa siyo mzuri!
 
Palipo na wengi pana mengi pia. Utani wakati mwingine unazidi kipimo ila ni mambo ya kawaida tu japo wengine wanakwazika kweli kweli na wanaamua kuondoka kimya kimya. Ila kama unavyoona ile bashasha ya mwanzo ni kama vile imepungua na nahisi kama vile mabinti wanapakwepa. Kuna watongozaji huku wako aggressive kweli kweli and can't take no for an answer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona jana nilivyoingia hakuna utani na wengine wamekua wapole kuliko kawaida yao humu...ila ndio maisha hatuwezi fanana wote
 
Back
Top Bottom