carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Msalimie mana na yeye kapotea kidogo humuJakitoo hajambo kabisa na maisha yanaendelea vyema. Mungu ni mwema!
Speed ndogo na likes ndogo...Leo uzi una speed ndogo
Karibu twende na midundo yetu ya hapaPoa naona kama kawaida unalisongesha gurudumu...asante ndo natoka mohangaikon hivi
Nimeshakaribia acha tuendelee ku likeKaribu twende na midundo yetu ya hapa
Alikuwemo humu juzi nadhani vurugu za akina Kichwa na genge lake zilizidi kipimo hakuzipenda. Atakuja bila shaka. Naona mabinti wengi wanaingia kwa kuibia ibia. It is a man's dominated world [emoji23][emoji23][emoji23]Msalimie mana na yeye kapotea kidogo humu
Huyu dikteta ni shida. We muite tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dikteta buzitata
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] kumbe ndio mana tangu juzi nahisi hali ya humu si shwari mana juz usiku niliona povu ambalo sikulielewa...ila i hope yameishaAlikuwemo humu juzi nadhani vurugu za akina Kichwa na genge lake zilizidi kipimo hakuzipenda. Atakuja bila shaka. Naona mabinti wengi wanaingia kwa kuibia ibia. It is a man's dominated world [emoji23][emoji23][emoji23]
Likesaluta kontinyua.
Palipo na wengi pana mengi pia. Utani wakati mwingine unazidi kipimo ila ni mambo ya kawaida tu japo wengine wanakwazika kweli kweli na wanaamua kuondoka kimya kimya. Ila kama unavyoona ile bashasha ya mwanzo ni kama vile imepungua na nahisi kama vile mabinti wanapakwepa. Utani wa hapa ukiuchukulia serious unaweza ukawa siyo mzuri![emoji23] [emoji23] kumbe ndio mana tangu juzi nahisi hali ya humu si shwari mana juz usiku niliona povu ambalo sikulielewa...ila i hope yameisha
Nimeona jana nilivyoingia hakuna utani na wengine wamekua wapole kuliko kawaida yao humu...ila ndio maisha hatuwezi fanana wotePalipo na wengi pana mengi pia. Utani wakati mwingine unazidi kipimo ila ni mambo ya kawaida tu japo wengine wanakwazika kweli kweli na wanaamua kuondoka kimya kimya. Ila kama unavyoona ile bashasha ya mwanzo ni kama vile imepungua na nahisi kama vile mabinti wanapakwepa. Kuna watongozaji huku wako aggressive kweli kweli and can't take no for an answer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
LikesHodi tena
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ulikuwa umelimwa ban ama?Niliimiss Jf sana
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app