myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Haki ya Mola wanguAlikuwemo humu juzi nadhani vurugu za akina Kichwa na genge lake zilizidi kipimo hakuzipenda. Atakuja bila shaka. Naona mabinti wengi wanaingia kwa kuibia ibia. It is a man's dominated world [emoji23][emoji23][emoji23]
IndeedUkweli mchungu!