Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mzazi mzaziWe acha tu utamu juu ya utamu
Mzazi mzaziWe acha tu utamu juu ya utamu
Umenistua usingizini..gonga likes nawe upateNimekuja kuchungulia, Kuna nini kinaendelea humu ?
Niletee nionjeRaha ya sumu hata ikiwa feki lazima ikuue tu.
"Kama vipeee jipige vibao vya uso na aangalia avatar yangu pia" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Umeona huu uzi ndio wakuniletea habari za CCM
Kwanini haunisubiri huko!?
Hapa umekuja na kinyongo utajiju
Haibadilishi kitu kwamba
Magufuli ni Jembe
Awamu ya Tano ni hakunaga
Na
Hapa kazi tu
Kama vipeee jipige vibao vya uso na aangalia avatar yangu pia
Usingizi hakuna. Tupo. Likes please!Vipi mmelala?
Hahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] watani wako toka jukwaa lileee wamekufuata huku[emoji2] [emoji2] wamekumiss [emoji1] [emoji1]Shame on you
Kuona tu jina langu humu unatokwa povu
Eeeeeeeeh
Wewe uliyedandia lori hili sijui jana
Kumbe hauko mbali na sherehe?Yap yap NINJA
Nipo nipo mkuuKumbe hauko mbali na sherehe?
Nambie ninja mkuu
Pamoja sanaUsingizi hakuna. Tupo. Likes please!
Lete maneno sasa ninja mwenyeweNipo nipo mkuu