Tunakodisha Bunduki
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 822
- 1,280
[emoji106][emoji106]
Hahahaha acha wakinywee hicho kikombe walishiriki kutuita kila majina na kusema hatuna akili ya kujiajiriYenye hekima sio hao wa escrow
Wanakula na kipofu alafu wanalamba mpaka mikono yake! Dadeki wafie kolokoloni
Kula likes hizoanhaaa... Kumbe ndio tabia yenu kuchkua likes kilahis... Aya wote tawanyikeni kuanzisha nyuzi...
IS RA ELKwetu pamoja kwa umoja
We have each other's backs
Kama wa IS RA EL
Senkyuuuuuuuuuu!Morning, have a nice day too..
Mdada wa kutukana aweke sura yake wapi
Umeiona hiyo?IS RA EL
Kula double like..Ogopa sana huku utakutana na team popo kama
ISIS
KACNIA
MYOYAMBENDI
KICHWA KICHAFU (NINJA)
MZEE WA LIVER
ANDJUL
THE CHOOSEN ONE
COLE WILLIAM
NUMBISA
BEBE S
SHIMBA YA BUYENZA
kwakwel you deserve my trophy
(Team popoz)
Utakuwa umechanganyikiwaUniq pamoja na babe s mnaonaje tukiamua kuishi pamoja kwa sababu tunapendana sana!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app