uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Kupika hapa ndio kwao mpaka utembee na mkongojo nitakuwa nakupikiaThats the spirit[emoji106] [emoji106] usisahau tu ahadi ya kunipikia...hahaha
Kupika hapa ndio kwao mpaka utembee na mkongojo nitakuwa nakupikiaThats the spirit[emoji106] [emoji106] usisahau tu ahadi ya kunipikia...hahaha
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Chukua trophy kwanza
(Last cantact)
Kisha tuendelee
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Na hiyo ni sentesi tata
Asante...Pole Love
Hahahhaha basi mimi nikikubali nipelekeni mirembeNdugu yaaangu niaminiii siiiiina nia ovu kwako nduuuguuu yanguu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji106] [emoji106]
Ni kweli urafiki unadhidi kuwa mkubwa uniq, babe s na ho chi minh kwenye nyumba moja wazo zuri sanaNapenda tuishi pamoja katika nyumba moja ili tusaidizane.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nani wa hivyo!!??yaan nije kibiti kisa naijia simu uwiii kaa nayo tuHuko huko hapa haka ka tochi kangu ndio natishia amani.
We njoo uchukue haka kengine hamna cha kulipa kijijini
Hamna mzee mwenzangu ho chi minh hana tabia hiyo wala kashfa hiyo.Mpango wa kuwinda zizi. Kavaa ngozi ya kondoo
Hakuna kitu kama hichoNi kweli urafiki unadhidi kuwa mkubwa uniq, babe s na ho chi minh kwenye nyumba moja wazo zuri sana
Muambie nimkute pale getini Munduli
Hahahaha wazo tata!!!Ni kweli urafiki unadhidi kuwa mkubwa uniq, babe s na ho chi minh kwenye nyumba moja wazo zuri sana
Karibu sana kibiti pia na nachukua nafasi hii kukukaribish na ikwiriri kwa ho chi minh juzi nilikuwa hukoHapana usihofu muuambie na mzee wa ikwiriri
HahahahaMbona nimechelewa kuja mpaka uzi umeenda mbali hivi [emoji21]
Amu fainiHawa yu?
Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
Umewahi sana mkuuMbona nimechelewa kuja mpaka uzi umeenda mbali hivi [emoji21]
Ngoja wengine wakuletee simu abakie huko kibitiNani wa hivyo!!??yaan nije kibiti kisa naijia simu uwiii kaa nayo tu
HahahahaKodi ya kichwa
Kodi ya jengo
Kodi ya gari
Kodi ya duka
Kodi ya biashara
Kodi ya LIKES