myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
LikesNampenda nani....nampenda.....msichana mmoja nani....nampenda...
Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu kama hicho
hakuna kosa kabisa mzee wa ho chi minh wazo zuri sana hatuna hila yoyote.Mzee kichwa kichafu au nimefanya makosa kuwakaribisha tushi pamoja hii nyumba ni kubwa haina watu wa kutosha?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Pole sanaMbona nimechelewa kuja mpaka uzi umeenda mbali hivi [emoji21]
HahahahaPole polee ulizia kitu kina itwa A To Z ya huu uzi
I knowPole sana
No WAYThe source of all evils!
HahahahahaKaribu hujachelewa ila kuwa mwangalifu. Andika post, toa like, angalia wake na waume za watu. Utaishi kwa amani
Ndio mkuu nimeamua kuweka reflection yangunaona ume change Avatar mkuu
BalaaaKodi ya kichwa
Kodi ya jengo
Kodi ya gari
Kodi ya duka
Kodi ya biashara
Kodi ya LIKES
babe S huko mzee mwenzangu ho chi minh ni mkarimu sana.Hahaha...ho chi Minh..!??
Nguli wa fasihi za kiswahili TanzaniaWangapi wanajua huyu ni nani?
Hiyo kaliHahaha...ho chi Minh..!??
Twende sambambaNa wewe kula hiyo
Ndio mkuu idea gani hiyo ninjaKichwa nimepata idea nzuri kwa ajili ya id yako mpya ambayo soon utai release humu
Lete idea tushareKichwa nimepata idea nzuri kwa ajili ya id yako mpya ambayo soon utai release humu