mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha kibiti salama huku tunalala hatufungi milango kwa amani iliyopo huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani wa hivyo!!??yaan nije kibiti kisa naijia simu uwiii kaa nayo tu
My Queen huyu sijui ndio anajiunga na JFHahahaha
Mkuu ho chi minh ana moyo wa utoaji sana na ukarimuHakuna kitu kama hicho
Numbisa tatizo la simu yako linahitaji akili au nguvu?(software or hadware) huenda naweza kukusaidia ili urudi katika ubora wako maana tunakumic
Familia pendwa na bora kabisa hapa JFUmewahi sana mkuu
Karibu sana katika family hii
HahhahahaaMuambie nimkute pale getini Munduli
Mtu anakuja tu hana A to Z ya mji wa Liverpoll atapotea bure ajikute baharini au ManchesterHahahaha
Shabani RobertNguli wa fasihi za kiswahili Tanzania
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Umewahi sana mkuu
Karibu sana katika family hii
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mtu anakuja tu hana A to Z ya mji wa Liverpoll atapotea bure ajikute baharini au Manchester
Shimba ya Buyenze hebu kuya huku
08:3808:30 siku inasonga
Pole sana mkuu ngoja nijulishe tatizo nione kama naweza jaribu kutibuNadhan Akili kwanza,nimegoogle screen overlay detected. Ee nimefata maelekezo yote hadi kuifuta watsup nimeshindwa gundua ubovu
Numbisa simu ina shida gani??Nadhan Akili kwanza,nimegoogle screen overlay detected. Ee nimefata maelekezo yote hadi kuifuta watsup nimeshindwa gundua ubovu