Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpunga urudi kwanza,

Hatua nawaachia vyombo husika.
 
UN: Ukanda wa Gaza haukaliki kwa wakazi milioni mbili

7 hours ago



Umoja wa Mataifa umesema Ukanda wa Gaza haukaliki kwa wakazi wake wapatao milioni mbili.
Katika ripoti inayoangalia hali ya kibinadamu, Umoja wa Mataifa umesema kiwango cha kipato, huduma ya afya, elimu, huduma ya umeme na maji safi ya kunywa imezorota katika kipindi cha miaka kumi tangu Hamas ichukue madaraka katika eneo hilo.

Baada ya kuchukua utawala, Israel ambayo inaitambua Hamas kama kundi la kigaidi, ikishirikiana na Misri wameitenga Gaza.

Mamlaka ya Palestina, ambayo inadhibiti eneo la West Bank imesitisha uhamishaji wa fedha katika ukanda huo wa pwani na kuitaka Israel kupunguza huduma ya umeme.
 
Rais wa Zamani wa Senagal agombea Ubunge

13 hours ago





Rais wa zamani, Abdulaye Wade(91) amerejea nchini humo akitokea Ufaransa ili atimize adhima yake ya kugombea Ubunge

Wade anatarajia kugombea Ubunge katika Uchaguzi wa Julai 30, 2017

Rais Wade alipata upinzani ndani utawala wake mpka kuundwa kwa kundi linalojiita "tumechoka"
 
Inakataa kwenye application zote. Poa nasubiria maelekezo boss,ukiona kimya jua nipo busy kidogo hivyo nitayakuta tu
1,Download app inaitwa ANIMATOR
2,zina simu yako kisha uiweke kwenye safe mode
3,washa simu ikiwa kwenye safe mode
4,nenda kwenye apps. Kisha switch on microphone na storage on kwa kila ukianza na animator.
5,zima simu yako kisha ondoa safe mode
6)problem solved

Kama sasa ni windows mobile au iphone naomba tuendelee kupeana likes tuu maana hakuna namna nyingine nnayojua kwenye hizo simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…