Watu wamekoswa imani tuho chi minh moyo wa ukarimu umezidi hamna utata babe S
Hela ya matumizi lzm unayo, sasa siuende kulaaa
1,Download app inaitwa ANIMATOR
2,zina simu yako kisha uiweke kwenye safe mode
3,washa simu ikiwa kwenye safe mode
4,nenda kwenye apps. Kisha switch on microphone na storage on kwa kila ukianza na animator.
5,zima simu yako kisha ondoa safe mode
6)problem solved
Kama sasa ni windows mobile au iphone naomba tuendelee kupeana likes tuu maana hakuna namna nyingine nnayojua kwenye hizo simu
Oke oke try not to failThank u much ngoja nijaribu,ni Android
mkuu habari, kama kawaida
Nzuri sana myoyabendi tunashukuru tumeamka salamamkuu habari, kama kawaida