Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais Wa Marekani, Donald Trump Juzi Alitoka Nje Ya Mkutano Wa G20 Huko Berlin, Ujerumani Na Kiti Chake Kukaliwa Na Mwanae Wa Kike Ivanka Trump Pale Ulipofika Muda Wa Kujadili Masuala Ya Afrika Na Ajenda Hiyo Ilipomalizika Alirejea Mkutanoni, Na Kudai Hawezi Kupoteza Muda Kuwajadili Watu Walioshindwa Kujitawala.

Unadhani Trump Yupo Sahihi?
 
WALIOPATA MGAO WA PESA ZA ESCROW.

WANASIASA
Andrew Chenge - Bilioni 1.6
Anna Tibaijuka - Bilioni 1.6
Paul Kimiti - Milioni 40.4
William Ngeleja - Milioni 40.4
Daniel Yona - Milioni 40.4

MAJAJI
Jaji Mujulizi - Milioni 40.4
Jaji Ruhangisa - Milioni 404.25

WATUMISHI WA UMMA
Mkurugenzi Mkuu TIC, Emanuel Daniel Ole Naiko - Milioni 40.4
Lucy Appollo (TRA) - Milioni 80.8
Dkt. Enos Bukuku (Mjumbe Bodi Ya Tanesco).
Philip Saiboko (RITA) - Milioni 40.4

VIONGOZI WA DINI
Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki La Bukoba, Methodius Kilaini - Milioni 80.9
Askofu Msaidizi Jimbo Kuu Katoliki La DSM, Alphonce Twimannye Simon - Milioni 40.4

TAKUKURU imesema kuwa kurudisha fedha zilizochotwa katika akaunti ya Tegeta Escrow hakumsafishi mtu dhidi ya tuhuma zinazomkabili.

Yasisitiza kuwa ni lazima sheria ichukue mkondo wake.

Je, Ungependa Nao Warudishe Kama Ngeleja? Au wakamatwe kama Rugemalila?
No comments
 
IMG_20170712_120505.jpg
 
Rais Wa Marekani, Donald Trump Juzi Alitoka Nje Ya Mkutano Wa G20 Huko Berlin, Ujerumani Na Kiti Chake Kukaliwa Na Mwanae Wa Kike Ivanka Trump Pale Ulipofika Muda Wa Kujadili Masuala Ya Afrika Na Ajenda Hiyo Ilipomalizika Alirejea Mkutanoni, Na Kudai Hawezi Kupoteza Muda Kuwajadili Watu Walioshindwa Kujitawala.

Unadhani Trump Yupo Sahihi?
Huyu jamaa anadharau sana waafrika sijui sababu
 
Back
Top Bottom