sammyluv
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 930
- 6,156
Chukua likeNataka niache chuo nikafuge kuku ili nipate ada ya masomo
Nahitaji msaada wa mawazo, ingia humo unisaidie
Chukua likeNataka niache chuo nikafuge kuku ili nipate ada ya masomo
Nahitaji msaada wa mawazo, ingia humo unisaidie
Na mimiChukua like
Ndo uniambie utaenda wapi labda nitaomba twende woteYa Mungu mengi naishi duniani kama mgeni
Tayari nishakupaNa mimi
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Naona unamlazimisha achukue like hahahahaaChukua like
Shemeji hata mi sijui ni wapi ila ni sehemu watu wakienda huwa hawarudi kamweNdo uniambie utaenda wapi labda nitaomba twende wote
Poa poaTayari nishakupa
Tupo muhengaMpo wahenga wenzangu
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
TupoMpo wahenga wenzangu
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Wanaendaga kwa will zao au wanalazimishwaShemeji hata mi sijui ni wapi ila ni sehemu watu wakienda huwa hawarudi kamwe
ni mbishi bora tumeleke kwa Kichwa Kichafu (herode)Mpe like atulie
Sasa yeye anataka ushauri na hapa sio jukwaa kilimo na ufugaji inabidi achukue tu like hamna namnaNdo uniambie utaenda wapi labda nitaomba twende wote
Nimechanganya madesaNaona unamlazimisha achukue like hahahahaa
Sasa yeye anataka ushauri na hapa sio jukwaa kilimo na ufugaji inabidi achukue tu like hamna namna
Kweli hakuna namna acha tumpe tu malikesSasa yeye anataka ushauri na hapa sio jukwaa kilimo na ufugaji inabidi achukue tu like hamna namna
HerodeWanaendaga kwa will zao au wanalazimishwa
Hiyo ni utake usitake lazima uendeWanaendaga kwa will zao au wanalazimishwa