cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
55555
Nature takes care of its own. Wanasayansi wamechunguza viota mbalimbali na wanasema maarifa yaliyotumika katika kuvijenga na mahesabu yanayotakiwa ni shida...Nice
Asee139k loading
HahahahaIkifika saa tatu usiku zima kila kitu halafu uchape uzingizi mkuu. Inawezekana hata kama ukiota unagonga likes we jikaze tu usiiguse simu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha ha ha alikufanyia kusudi tuMi mwalimu siku ya kunipokea Alevel si anachukua chil yangu nilim mind sana
mkuu upo..bado tupo tunagonga likes na storiNi lini umelala kabisa ukapata usingizi wa kutosha na ukajihisi kweli umepumzika? Uzi huu ni shida mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha😀😀😀😀😀😀kumbe siko peke yangu😀😀😀😀dah afadhali wahanga ni wengi
17:055:00
AMUN RA
6666*66
..+ sleep deprivation [emoji23][emoji23][emoji23]Si shida
Huu uzi unaondoa mawazo kabisa!
6666666
Salama salmini