Tulia upigiweMnabipu eeh
Kuna tatizo limetokea hum kwan...Nilikua naleta links humu sikuambiwa peleka kule huku likes only. kwa nn wengine wanajibiwa ndivyo sivyo?
Asante numbisa kwa kazi zako zenye kuburudisha
Hahaha wala sijakasirika nipo peace mno nimeandika tu. Siku nikikasirika utajua tu. Ila waambie basi wapunguze wanatufukuzia wagen. Mfano mahodaw asubuh alikua anatoa like vizur tu ila neno toa like lilimfata kila konaUsikasirike sana mpendwa jamani!
You are such a wonderful person!
Please cheer up!
Upendo!