cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Sina maneno
Wahenga wakamwagana na nyodo juuuEnzi za wahenga hawaView attachment 540518
Ooh upo mremboHabarini za jion
Hakuna aliekataza chochote huku..ila kuwaambia watu watoe likes ni kawaida..pengine kuna wemekulalamikia!! Ni kawaida hatuwezi kufanana humu. Kila MTU ana namna angependa awe maarufu humu..kwa posti au kwa stories..ila si kuacha dhana ya kupeana likes eti kwa kuwa wengine wanalalamika..Nilikua naleta links humu sikuambiwa peleka kule huku likes only. kwa nn wengine wanajibiwa ndivyo sivyo?
Alright my dearHahaha wala sijakasirika nipo peace mno nimeandika tu. Siku nikikasirika utajua tu. Ila waambie basi wapunguze wanatufukuzia wagen. Mfano mahodaw asubuh alikua anatoa like vizur tu ila neno toa like lilimfata kila kona
Nipo habarOoh upo mrembo
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Asante sanaHakuna aliekataza chochote huku..ila kuwaambia watu watoe likes ni kawaida..pengine kuna wemekulalamikia!! Ni kawaida hatuwezi kufanana humu. Kila MTU ana namna angependa awe maarufu humu..kwa posti au kwa stories..ila si kuacha dhana ya kupeana likes eti kwa kuwa wengine wanalalamika..
Umesomeka, geuza mada, tupia picha wadau waburudikeKukumbusha si mbaya ila sio kila saa au kila dakika. Tuletee basi habari na stories ili tuburudike huku tunakula likes.
Everything is just me and my babe we are finePrince Cole naomba unisaidie hapo[emoji115][emoji115][emoji115]
Wasiliana na mods watakusaidiaHivi tunaedit jina vipi maana nimejichanganya sio Nyanu ni Nyani sasa nashindwa kurekebisha
Nyani wa Kale
Numbisa Hata Mimi napita majukwaa mengine na kuchangia..uliemtaja ana Uzi wake nimeuchangia..kwa maudhui ya kule..Kule hakuna mwito wowote wa kuchangia..kila jambo tulipe mahali pakeHahaha wala sijakasirika nipo peace mno nimeandika tu. Siku nikikasirika utajua tu. Ila waambie basi wapunguze wanatufukuzia wagen. Mfano mahodaw asubuh alikua anatoa like vizur tu ila neno toa like lilimfata kila kona
[emoji106] [emoji106] [emoji106]numbisa wewe ndie tunaekutegemea stori na picha, unachangamsha jukwaa.. sisi tunawakaba wadoezi wa 'likes
tusipokumbusha - labda heading pale juu na maudhui yabadilike..
[emoji5] [emoji5] kasema umtafute et...na alinambia nikufikishie salam zake kwakoEverything is just me and my babe we are fine
Aah bana umaarufu tumuachie ISIS,hakuna aliyewah kuota ataongoza kwa like Jf nzima. Nataman mmoja amuanzishie uzi wa hongera(sipo vizuri kwenye kushuka mistari ningeanzisha)iwe chit chat au jukwaa la pongezi. She deserves a big congratulation. Am proud of this thread imetuletea heshimaHakuna aliekataza chochote huku..ila kuwaambia watu watoe likes ni kawaida..pengine kuna wemekulalamikia!! Ni kawaida hatuwezi kufanana humu. Kila MTU ana namna angependa awe maarufu humu..kwa posti au kwa stories..ila si kuacha dhana ya kupeana likes eti kwa kuwa wengine wanalalamika..
Na maneno ya kukojozanaWahenga wakamwagana na nyodo juuu
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Hongera..Nimepishana na Rooney badala nimshangae yeye ananishangaa
Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
Huyu ndiye ndiye kichwa kisafi au kichafu