kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,026
- 15,812
Hahahaha usiombe hiyo hali ikukute kanisani af unemaliza kubadilishana namba za simu na mshiriki pembeni yako unakuwa unajisikia kama umekaa na kinyesi mfukoni😀😀😀Hahahaa nataman nijue ulichokumbuka haha