Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kumbe zile foleni za ugali ulikuwa unaenda Shemeji uko vizuriHahahaha ha ha tangu O level nakula dona na maharage yenye wadudu weusi na weupe wanaoelea mpaka leo nishauzoea
Kumbe zile foleni za ugali ulikuwa unaenda Shemeji uko vizuriHahahaha ha ha tangu O level nakula dona na maharage yenye wadudu weusi na weupe wanaoelea mpaka leo nishauzoea
uko sawa..ila kuna tofautu kubwa sana ya uelewa...mwisho litakuwa jukwaa kama mengineLets chat bila kuweka hii kitu. Maana kuna wengi walikuja humu kwa ajili ya kuwa nasi ila wameboreka kwa kukumbushwa kila saa wakat wanatoa like vizuri tu sema hawakuwa wanawafikia baadhi ya watu
Kesho mchana sipendi kula ugali usikuUpike bhasi leo
Nzuri za kwako?Habarini za jion
Mi nikajua unaendaga foleni za Wali TuHahahaha ha ha tangu O level nakula dona na maharage yenye wadudu weusi na weupe wanaoelea mpaka leo nishauzoea
karibu salama wewe je..Habarini za jion
Nilikuwa sikosi nikijazia na mango pickle kwa wingi najikuta kama nakula ugali na rost wale wadudu wanakuwa watamuuKumbe zile foleni za ugali ulikuwa unaenda Shemeji uko vizuri
Sisi wali ilikuwa jmosi tuMi nikajua unaendaga foleni za Wali Tu
Utakuwa unaotaga ndoto mbaya kama mimi nikilaga ugali UsiKu naota mandoto ya kutishaKesho mchana sipendi kula ugali usiku
Kwa hiyo wao walaikiwe sisi hawatulaiki?
Kweli kabisa naweweseka usiku kucha na nashindwa kulala kifudifudi nahisi kama tumbo litapasukaUtakuwa unaotaga ndoto mbaya kama mimi nikilaga ugali UsiKu naota mandoto ya kutisha