Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa Hata Mimi napita majukwaa mengine na kuchangia..uliemtaja ana Uzi wake nimeuchangia..kwa maudhui ya kule..Kule hakuna mwito wowote wa kuchangia..kila jambo tulipe mahali pake

Niliyemtaja alikua hapa asubuh,kwenye huu huu uzi,pitia post za nyuma utaona. Sijasema uzi nje ya huu. Sijaenda huko kwingine zaid ya hapa na jukwaa la celebrity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…