Mambo ya cosmology hayoooooUNIVERSE TAKE CONTROL FOREVER
Unapenda kumsoma Plato Mahondaw?Allegory the cave
Immanuel Kant...Existentialism
Maybe... Make ndo allegory ilivo yani copyright huku na kule kwenye kivuli chakoUnapenda kumsoma Plato Mahondaw?
Allegory of the Cave imefufukia kwa wanasayansi na dhana yao hii mpya ya parallel universes. Eti inawezekana vitu vyote viko katika jozi msambamba. Eti mahali fulani katika dimension nyingine kuna Galaxy ya milky way nyingine kama yetu na ina sayari kama zetu. Hii ina maana kwamba kuna dunia nyingine kama yetu na si ajabu kuna Mahondaw mwingine ambaye ni kopi kabisa kama Mahondaw huyu tuliyenaye hapa JF. Maisha na uwepo wetu na hasa kusudi letu katika sayari hii bado ni kitwndawili...
Naona. Kumejaa wahenga tupu [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Kwa tulioishi Mbeya miaka hiyooo hapa ndipo tulipokuwa tunapatia maujanja
Huduma safi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Kwa mlio Bariadi,huduma inapatikana hapa
Impossible. I say Good must be done...and evil must be done but to a lesser extent [emoji23][emoji23][emoji23]Good must be done and evil must be avoided
Evil must be avoided....Impossible. I say Good must be done...and evil must be done but to a lesser extent [emoji23][emoji23][emoji23]
Walinda maadili wa Bongo wako macho balaa na wakiona tako limo kwenye kisketi kilichobana basi ni vurugu tupu. Wakifanya hivi na kwa wavaa milegezo itakuwa safi sana!![]()
Kwa wanao tumia usafiri huu,msisahau kuvaa kanguo ka ndani