Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Allegory the cave
Unapenda kumsoma Plato Mahondaw?

Allegory of the Cave imefufukia kwa wanasayansi na dhana yao hii mpya ya parallel universes. Eti inawezekana vitu vyote viko katika jozi msambamba. Eti mahali fulani katika dimension nyingine kuna Galaxy ya milky way nyingine kama yetu na ina sayari kama zetu. Hii ina maana kwamba kuna dunia nyingine kama yetu na si ajabu kuna Mahondaw mwingine ambaye ni kopi kabisa kama Mahondaw huyu tuliyenaye hapa JF.

Maisha na uwepo wetu na hasa kusudi letu katika sayari hii bado ni kitendawili kwa kweli.
 
Maybe... Make ndo allegory ilivo yani copyright huku na kule kwenye kivuli chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…